Tuesday, April 26, 2016

Karibu JITA VOCATIONAL TRAINING COLLEGE (JVTC). Ndugu msomaji wa ukurasa huu, nakupongeza kwa juhudi zako ulizofanya hadi kufikia katika ukurasa huu. Ni imani yetu kuwa majibu ya kile ulichokitafuta kwa muda mrefu utayapata hapa.
karibu sana

UNATANGAZIWA NAFASI ZA MASOMO YA UJUZI KWA KOZI ZIFUATAZO;
1. Kozi ya ufundi simu HARDWARE na SOFTWARE (ada sh. 400,000/=) Miezi mitatu
2. Kozi ya ususi na urembo (ada sh. 400,000/=). Miezi mitatu
3. Kozi ya ushonaji wa nguo (ada sh. 250,000/=) Miezi sita
4. Kozi ya kuweka maandishi na picha kwenye nguo [tshirt/screen printing] (ada sh. 430,000/=) Miezi mitatu
5. Kozi ya kudizain na kutengeneza batiki (ada 350,000/=) Miezi mitatu
6. Kozi ya upambaji wa kumbi (ada sh. 430,000/=) Miezi miwili
7. kozi ya mapishi ya keki aina nyingi (ada sh. 350,000/=) Miezi miwili
8. kozi ya utumiaji kompyuta (computer application) (ada 250,000/=),Miezi mitatu

UNARUHUSIWA KUSOMA KOZI ZAIDI YA MOJA KWA MUDA ULE ULE...(Piga simu upate maelezo zaidi, 0752 698 691 au 0658 698 691)

WHATSAP: 0752 698 691

TSHIRT, KITAMBULISHO NA MADAFTARI YANATOLEWA BURE BURE BURE KABISA.

Hostel zipo kwa wanaotoka mbali na mkoa wa Morogoro (Hostel + chakula + chai ni sh. 380,000) kwa miezi mitatu.
MASOMO KWA MUHULA MPYA YATAANZA KILA TAREHE 3 YA KILA MWEZI.
Chukua fomu mapema hapa... jvtcmo.blogspot.com au njoo utajazia fomu chuoni na kuanza masomo mara moja.
CHUO KIPO MKUNDI MWISHO, MOROGORO MJINI.


SIFA:
Kuanzia darasa la saba hadi chuo kikuu...wenye div iv au 0 pia wanakaribishwa na wahitimu wa kidato cha nne wanaosubili matokeo pamoja na vyuo wanaosubili ajira.


TUNAFUNDISHA KWA VITENDO 80% NA NADHARIA 20%.

TUPIGIE/SMS SASA 0752 698 691 au 0658 698 691



NAMNA YA KUOMBA NAFASI YAKO
Kutokana na nafasi kuwa chache, tuma maombi mapema. Kama una uhakika wa kuja, tuma meseji mapema yenye MAJINA YAKO, ULIPO, KOZI uliyochagua na TAREHE unayotegemea kuripoti chuoni KABLA ya tarehe 30 ya kila mwezi ili uwekwe kwenye regista ya awamu inayofuata kwenda 0752 698 691 hii itakusaidia kupata uhakika wa nafasi hapa chuoni kwani muda mwingine hujaa. Karibu sana.


KUMBUKA:

HIZI NI KOZI ZA MUDA MFUPI, NI VITENDO ZAIDI....CHETI UTAPATA BAADA YA KUHITIMU NA KUUNGANISHWA NA WAAJIRI KAMA UTAHITAJI KUAJIRIWA.
KARIBU 0752 698 691 au 0658 698 691.









Wanafunzi wa kozi ya ushonaji wakiwa katika majadiliano wa namna ya kufanya vipimo sahihi

Mwanafunzi wa Mobile phone Engineering akisoma muundo wa sakiti ya simu

Mkufunzi wa Tshirt printing akiwaelekeza wanafunzi namna ya kuprint maandishi kwenye Tshirt.