2. Kozi ya ususi na urembo (ada sh. 400,000/=). Miezi mitatu
3. Kozi ya ushonaji wa nguo (ada sh. 250,000/=) Miezi sita
4. Kozi ya kuweka maandishi na picha kwenye nguo [tshirt/screen printing] (ada sh. 430,000/=) Miezi mitatu
5. Kozi ya kudizain na kutengeneza batiki (ada 350,000/=) Miezi mitatu
6. Kozi ya upambaji wa kumbi (ada sh. 430,000/=) Miezi miwili
7. kozi ya mapishi ya keki aina nyingi (ada sh. 350,000/=) Miezi miwili
8. kozi ya utumiaji kompyuta (computer application) (ada 250,000/=),Miezi mitatu
UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU MBILI, wasiliana nasi ujue unaweza kuanza na kiasi gani.
HOSTEL NA CHAKULA
Hostel zipo kwa wanaotoka mbali na mji wa Morogoro na kwa gharama ndogo sana ya sh. 380,000 tu (kula na kulala) kwa miezi yote MITATU.
No comments:
Post a Comment