Nafasi za kazi

NAFASI ZA KAZI


JITA VOCATIONAL TRAINING COLLEGE (JVTC) -MOROGORO, Inakutangazia nafasi za kazi ya:
(i) ualimu wa ushonaji (Nafasi 4)
(ii) ualimu wa ususi na urembo (Nafasi 3)
SIFA
<> Awe raia wa Tanzania.
<> Awe na cheti cha ujuzi husika.
<> Awe na cheti cha ualimu toka MVTTC.
<> Wenye uzoefu katika fani husika.
MAJUKUMU
<> Kufundisha kwa vitendo fani husika
<> Kuhamasisha wanafunzi wapende fani husika.


MAOMBI YATUMWE KUPITIA:
Email: jvtcmoro@gmail.com au Whatsaap 0752 698 691
(Tuma barua ya maombi, C.V yako pamoja na vyeti)


No comments:

Post a Comment